5 Aug 2026 1:47 pm | Citizen TV 173 views Duration: 1:46 Wakulima katika Kaunti ya Migori wanazidi kukumbatia kilimo bora kinachokabilina na mabadiliko ya hali ya hewa huku wakiepuka madhara yanayoongezeka na kuangamiza mimea yao.