Wakulima na wafugaji Malindi washauriwa kuhusu fidia

  • | KBC Video
    Halmashauri ya kudhibiti sekta ya bima humu nchini - IRA imewashauri wafugaji katika kaunti ya Lamu kuchukua bima ya mifugo ili waweze kufidiwa pale mifugo wao wanapokufa. Kwa mujibu wa afisa mkuu wa mawasiliano katika halmashauri hiyo, Noella Mutanda, wakulima pia wako na uwezo wa kuchukua bima ya mimea ambapo itahakikisha wanafidiwa wakati wa kiangazi au pale mimea yao inapoharibiwa na wanyama pori. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #KBCchannel1 #ThisIsKBC #News