Wakulima Nyamira wahimizwa kupanda parachichi

  • | Citizen TV
    96 views

    Wakulima katika kaunti ya Nyamira wamehimizwa kupanda parachichi aina ya Hass na Fuerte, ili kuimarisha mapato yao.