Wakulima Nyandarua kunufaika baada ya kiwanda cha viazi na mboga cha Midlands kufufuliwa

  • | NTV Video
    120 views

    Wakulima kutoka kaunti ya Nyandarua wako na kila sababu ya kutabasamu baada ya kiwanda cha viazi na mboga cha midlands kufufuliwa. kiwanda hiki kilichoko katika kaunti ndogo ya kinangop kusini, na ambacho kina mitambo ya dhamani ya shillingi bilioni moja unusu, kilihitimisha miongo miwili iliyopita baada ya kukumbwa na msukosuko wa kisiasa.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya