Wakulima Runyenjes waandamana

  • | KBC Video
    54 views

    Wafanyibiashara wa Muguka katika eneo la Runyenjes kaunti ya Embu walikabiliana na maafisa wa polisi wakilalamika kuhusu marufuku iliyowekewa mmea huo katika eneo la Pwani. Wafanyibiashara hao walifunga barabara na kuwasha mioto wakidai kuwa shughuli zao za kiuchumi zimevurugwa na marufuku hiyo.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive