Wakulima Tharaka Nithi wafungua njia ya kilimo cha moringa kurejesha ardhi na kuongeza mapato

  • | Citizen TV
    344 views

    Wakulima katika Kaunti ya Tharaka Nithi sasa wameshabikia kilimo cha mti wa Moringa kama suluhu la kurejesha ardhi iliyoharibika na kuongeza mapato yao. Baadhi ya wakulima wanabadilisha ardhi isiyo na tija kuwa biashara yenye mafanikio. Wamekumbatia kilimo cha Moringa sio tu kama suluhu kwa mabadiliko ya hali ya anga, bali pia kwa mapato