Wakulima Trans Nzoia wahofia mazao kuharibika wakati wa El-Nino

  • | Citizen TV
    1,100 views

    Wakulima katika eneo la Trans Nzoia wanaelezea hofu kuhusiana na mvua kubwa inayoshuhudiwa nchini. Wakulima hawa wakiwa na hofu kuhusu uhifadhi wa mazao yao, wakitaka juhudi kufanywa kuwaepushia hasara