Skip to main content
Skip to main content

Wakulima Transnzoia wahangaikia mbolea wakisema NCPB imewaarifu kusubiri hadi Aprili

  • | Citizen TV
    134 views
    Duration: 2:54
    Wakulima katika kaunti ya Trans Nzoia wanalalamikia uhaba wa mbolea huku msimu wa upanzi ukiwa tayari umeanza. Katika kaunti ya Trans Nzoia, wakulima wamekuwa wakipiga kambi nje ya ofisi za bodi ya nafaka na mazao ya NCPB kutaka maelezo kuhusu ni lini watapata mbolea ili kuwawezesha kuendelea na upanzi.