Wakulima Uasin Gishu wanahofia mazao yao yataoza kutokana na mvua ya El Nino

  • | Citizen TV
    795 views

    Wakulima kutoka maeneo ya bonde la ufa sasa wanasema wanalazimika kuanza kuuza mazao yao kwa mataifa jirani kutokana na uhaba wa soko imara hapa nchini Kenya. Wakulima kutoka kaunti ya Uasin Gishi wakiendelea kulalamikia hofu ya hasara ya mazao yao msimu huu huku mvua kubwa zikitarajiwa mwezi huu. Wakulima hawa sasa wakitaka serikali kupitia bodi ya NCPB kununua mahindi yao mara moja au kuwapa hifadhi