Wakulima wa Busia washauriwa kutonunua mbegu ghushi

  • | Citizen TV
    138 views

    Huku msimu wa upanzi ukikaribia, wakulima katika kaunti ya Busia wamehimizwa kutonunua mbegu ghushi ambazo huwaletea hasara wakati wa mavuno.