31 Oct 2025 1:40 pm | Citizen TV 174 views Duration: 1:38 Wakulima wa majani chai wa viwanda wa Tegat na Toror katika Kaunti ya Kericho wameunga mkono hatua ya kuitisha ukaguzi wa mahesabu wa viwanda vya KTDA kote nchini.