Wakulima wa kahawa katika eneo bunge la Mathioya wang'oa mimea hiyo kutokana na bei duni

  • | Citizen TV
    1,120 views

    Wakulima wa kahawa katika eneo bunge la Mathioya Kaunti ya Murang'a wameanza kung'oa mimea hiyo kwenye mashamba yao wakilalamikia kutopata faida yeyote kutokana na usimamizi mbaya wa viwanda vya kahawa.