Skip to main content
Skip to main content

Wakulima wa kahawa Kericho wapokea miche milioni 1.5

  • | Citizen TV
    188 views
    Duration: 1:36
    Wakulima wa kahawa wametakiwa kuendeleza upanzi wa bidhaa hiyo muhimu kwa lengo la kuwainua kiuchumi na kuwawezesha kufaidika na mapato yanayotokana na kilimo hicho.. Akizungumza katika eneo bunge la Ainamoi kaunti ya Kericho, katibu katika wizara ya kilimo Paul Rono amewataka wakulima kutumia msimu huu wa mvua kujiakakamua katika shughuli hii ya kilimo cha kahawa. Rono alikuwa akiongoza hafla ya kuwapa wakulima wa eneo hilo miche ya kahawa ambapo zaidi ya miche milioni 1.5 itatolewa kwa wakulima. Aidha vijana wamehimizwa kujihusisha na kilimo.