Wakulima wa kahawa kupokea shilingi 80 kwa kila kilo ya mavuno yao katika kaunti ya Bungoma

  • | Citizen TV
    145 views

    Wakulima wa kahawa nchini watakuwa wanapokea shillingi 80 kwa kila kilo ya Mavuno yao. Haya ni kwa mujibu wa katibu wa vyama ya ushirika nchini Patrick Kilemi akiwa katika hafla ya hamasisho kwa wakulima wa kahawa eneo bunge la Kabuchai Kaunti ya Bungoma.