Wakulima wa kahawa kutoka Baringo wanalia

  • | Citizen TV
    279 views

    Wakulima wa kahawa kutoka Baringo wanalilia malipo ya kahawa yao. Wakulima hao wa chama cha ushirika cha Kituro, wanasema kuwa wanakabiliwa na wakati mgumu baada ya mahakama kusitisha malipo kufuatia mzozo wa uongozi wa chama hicho. malipo yao. Wakizungumza katika kiwanda cha kahawa cha Kituro,wakulima hao wanasema mgogoro ulitokea baada ya mabadiliko ya uongozi wa kiwanda hicho.