Wakulima wa kahawa kutoka Bonde la Ufa walalamikia malipo duni

  • | Citizen TV
    108 views

    Wakulima wa kahawa kutoka bonde la ufa walifanya mkutano katika kiwanda kipkelion wakilalamikia malipo ya mazao yao huku wakisema kuwa malipo kwa watu binafsi yatasababisha kufungwa kwa shirika la kahawa.