Wakulima wa kahawa waitaka serikali kuwasambazia mbolea kaunti ya Murang’a

  • | Citizen TV
    165 views

    Wakulima wa kahawa katika eneo bunge la Kandara, kaunti ya Murang’a wanaisihi serikali kuu iwasambazie mbolea ya ruzuku ili kuongezea mavuno yao ya kahawa.