Skip to main content
Skip to main content

Wakulima wa kaunti ya Kitui washauriwa kupalilia mimea

  • | Citizen TV
    180 views
    Duration: 1:14
    Wakati huu Mvua ya masika imeanza kunyesha katika sehemu mbali mbali nchini, wakulima katika kaunti ya Kitui wamehimizwa kuanza kupalilia mazao yao. Mkurugenzi wa idara ya utabiri wa Hali ya hewa wa Kitui, Daniel Mbithi, amesema mvua ya kutosha kukuza mimea itaendelea kunyesha katika kaunti hiyo.