Wakulima wa Kwale, Kilifi, Taita Taveta kulipwa fidia ya hasara

  • | Citizen TV
    Wakulima walipoteza mimea yao kutokana na kiangazi nchini Jumla ya shilingi milioni 85 zitatolewa kwenye hafla ya leo, Kwale