Wakulima wa Loitoktok wameanza kutumia jenereta za gesi

  • | Citizen TV
    302 views

    Huku wakenya wakiendelea kupambana na gharama ya juu ya maisha na haswa kupanda kwa bei ya mafuta, wakulima katika eneo la Loitoktok kaunti ya Kajiado wameamua kugeukia utumizi wa gesi kwenye jenereta zao kupunguza gharama. Kwa baadhi yao, gharama ya kutumia jenereta ya gesi ni ya chini mno ikilinganishwa na ile ya umeme.