wakulima wa majani chai walalamikia malipo finyo ya bonasi zao

  • | NTV Video
    Kamati ya bunge inayoshughulikia utekelezaji wa sheria mbadala, iliyokuwa inazuru baadhi ya maeneo katika kaunti za Murang'a na Embu, ilikabiliwa na hamaki ya wakulima waliokuwa wakiandamana kulalamikia malipo finyo ya bonasi ya zao la chai waliyolipwa mwaka huu. Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya