Wakulima wa majani chai wataka mabadiliko katika sekta hiyo yakamalishwe

  • | K24 Video
    253 views

    Hata baada ya serikali kuanza kufanikisha mabadiliko katika sekta ya majani chai, wakulima kufikia mwisho wa mwaka jana, walipata mapato yanayotofautiana. Wengi sasa wanataka mabadiliko hayo yakamilishwe ili wakulima wafurahie jasho lao.