Wakulima wa MakuenI, KituI, Embu, Tharaka Nithi wafunzwa

  • | Citizen TV
    243 views

    Wakulima zaidi ya 400 kutoka kaunti za Makueni, Kitui, Embu na Tharaka Nithi wanaendelea kupokea mafunzo ya kilimo endelevu na njia mbalimbali za kuendesha ukulima wa kisasa unaoweza kustahimili mabadiliko ya tabia nchi na kuwaletea wakulima mazao mengi