- 259 viewsDuration: 1:40Wakulima wa maziwa katika Kaunti ya Nandi wanataka serikali kuwekeza katika vifaa vya kuhifadhi maziwa katika maeneo mbalimbali ya kaunti hiyo, ili kupunguza hasara inayotokana na kuharibika kwa maziwa mbali na kukabiliana na unyanyasaji kutoka kwa madalali.