Wakulima wa minazi kaunti ya Kilifi wapokea mafunzo ya kupanda minazi iliyoboreshwa

  • | Citizen TV
    201 views

    Wakulima minazi kaunti ya Kilifi wamepokea mafunzo ya kupanda minazi iliyoboreshwa ili kuendeleza kilimo cha mmea huo muhimu ambao kwa muda umekua adimu kutokana na ukame na kufifia kwa upanzi wa minazi. Serikali imetakiwa kuboresha utaratibu wa kuruhusu miche kutoka nchi ya india ikizingatiwa kuwa inachukua muda mrefu kwa miche hiyo kuwafikia wakulima.