Wakulima wa miraa walalamikia kupunjwa

  • | Citizen TV
    172 views

    Mamia ya wakulima wa miraa kutoka eneo la Igembe wameishutumu Serikali kwa kushindwa kukabiliana na mawakala wa miraa.