Wakulima wa miwa katika eneo la Busia wafunzwa kutumia teknolojia kunyinyizia mbolea mashambani

  • | Citizen TV
    305 views

    Ni afueni kwa wakulima wa miwa katika kaunti ya Busia baada ya kampuni ya West Kenya Olepito kuzindua mtambo maalum ya kunyunyuzia mbolea mashambani. Idadi ya wakulima wa miwa katika kaunti ya Busia inazidi kuongezeka kila kuchao huku kampuni ya sukari ya West Kenya Olepito ikisajili zaidi ya wakulima elfu 17.