Skip to main content
Skip to main content

Wakulima wa miwa Ndhiwa wakadiria hasara kutokana na kuchelewa kuvunwa kwa mazao

  • | Citizen TV
    380 views
    Duration: 3:10
    Wakilima wa Miwa katika eneo la Ndhiwa kaunti ya Homa bay wanakadiria hasara baada ya mazao kuchelewa kutolewa shambani hadi viwandani. Wakulima hao wanasema chanzo kikuu ni uigizaji wa sukari kutoka nchi za nje jambo ambalo limeharibu soko lao pa kubwa. Wakulima hao wanalalama kuwa wasagaji miwa wameacha kuchukua miwa yao kwa sasa. James Latano anatuarifu zaidi kutoka Homa bay.