Wakulima wa miwa waandamana kupinga kukodishwa kwa Nzoia Sugar

  • | Citizen TV
    419 views

    Zogo lilizuka katika barabara ya Webuye kuelekea Malava pale polisi wapowakabili viongozi na wakulima waliokuwa wakindamana kupinga kukodishwa kwa kampuni ya sukari ya Nzoia. Maandamano hayo yamejiri siku chache baada ya mwekezaji Jaswant Rai kutia saini mkataba wa kusimamia kiwanda hicho kwa kima cha shilingi bilioni 5.6. Waandamanaji wanadai serikali imekiuka agizo la mahakama lililositisha kukodishwa kwa kampuni ya Nzoia.