- 87 viewsDuration: 1:35Baadhi ya wakulima katika kaunti ya Narok wameelezea wasiwasi wa mavuno duni msimu huu kutokana na upungufu wa mbolea katika ghala kuu la mbegu na mbolea mjini Narok. Kadhalika wamelalamikia ubovu wa barabara wakimuomba rais kutoa Suluhu kwa swala hili pamoja na kuhakikisha ukarabati wa barabara maeneo yanayopakana na kituo cha Reli ambacho rais atazindua eneo la Motony Narok Kaskazini .