Wakulima wa Somalia wazungumzia walivyopambana na mabadiliko ya hali ya hewa

  • | VOA Swahili
    163 views
    Mwaka jana, wakulima wa Somalia walikabiliwa matukio mawili ya kipekee kutokana na mabadiliko ya hali ya hewa, ukame na mafuriko. Baadhi ya wakulima katika wilaya ya Jowhar huko Shibelle ya Kati walielezea jinsi walivyokabiliana na hali hiyo mbaya isiyo ya kawaida ya hali ya hewa. #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.