Wakulima wa viazi wahimizwa kutumia Teknolojia

  • | Citizen TV
    44 views

    Wakulima wa viazi nchini wanahimizwa kutumia teknolojia za kisasa ili kuongeza uzalishaji wa kibiashara. Mojawapo ya mbinu zinazopendekezwa ni matumizi ya mbegu zilizoimarishwa.