Wakulima waandamana Kibisi wakitaka kiwanda cha kahawa kuwalipa malimbikizi yao.

  • | West TV
    12 views
    Wakulima wa kahawa wa kiwanda cha Kibisi kwenye mpaka wa eneo bunge la Kimilili na Kabuchai wameandamana wakitaka usimamizi wa kiwanda hicho kuwalipa malimbikizi ya pesa wanazodai kiwanda hicho baada ya kuwasiloisha kahawa yao kwenye kiwanda hicho ziaidi ya miezi mitano sasa.