Wakulima wafunzwa kufuga ng'ombe wa maziwa Kimilili, Bungoma

  • | Citizen TV
    48 views

    Wafugaji wa ngombe wa maziwa katika eneo bunge la Kimilili kaunti ya Bungoma wana kila sababu ya kutabasamu baada shirika la Strick Farms and Dairys Limited kuwapiga jeki kwa kuwapa mafunzo ya jinsi ya kupata dfaida katika ufugaji wa ng'ombe