Wakulima wafunzwa mbinu za kuongeza mapato Bungoma

  • | Citizen TV
    86 views

    Serikali ya kaunti ya Bungoma ikishirikiana na shirika moja la Kilimo nchini iliandaa warsha ya kuwafahamisha wakulima mbinu mwafaka za kupata faida za kilimo pamoja na kuwekeza katika bima.