Wakulima wafunzwa mbinu za kuongeza rotuba shambani Siaya

  • | Citizen TV
    124 views

    Wakulima katika kaunti ya Siaya walitangamana na maafisa kilimo wa nyanjani katika siku ya maadhimisho ya udongo ulimwenguni na kupokea mawaidha ya namna ya kuzidisha rotuba kwenye udongo bila ya kutumia mbolea za kemikali.