- 92 viewsDuration: 3:41Idadi kubwa ya wafugaji wa kuku hasa kina mama katika maeneo bunge ya budalang'i butula funyula na teso kusini katika kaunti ya busia, wameanza kukumbatia ufugaji wa kuku walioboreshwa. Kuku hao hukua kwa haraka na kuleta faida kubwa na wakilinganishw na wale wa kienyeji