Wakulima wahamasishwa kuhusu kilimo hai Meru

  • | Citizen TV
    268 views

    Wakazi wa Meru wamezamia mbinu za kilimo hai kuzalisha mitishamba wanayouza katika mataifa ya nje. mbinu hiyo ambayo haitumii Kemikali inasaidia kutunza rotuba ya udongo.