Wakulima wahimizwa kutotumia mbolea yenye kemikali Laikipia

  • | Citizen TV
    89 views

    Wataalamu wa kilimo wanahimiza wakenya kukumbatia utumizi wa mbolea halisi badala ya mbolea zenye kemikali kama njia moja ya kuongeza uzalishaji wa vyakula vyenye lishe bora na kupunguza hatari za kiafya zinazohusiana na utumiaji wa dawa za wadudu na mbolea zenye kemikali.