Wakulima wakadiria hasara ya mafuriko yaliyosomba mimea mashambani

  • | Citizen TV
    1,427 views

    Maelfu ya wakulima katika kaunti mbalimbali wanazidi kukadiria hasara si haba kufuatia mvua kubwa inayozidi kunyesha nchini. Wakulima hao sasa wakitaka serikali kuchukua hatua madhubiti kubadili hali la sivyo huenda taifa likakumbwa na janga la ukosefu wa chakula. Chrispine Otieno anatujengea taswira kutoka kaunti mbalimbali