Wakulima wakosa mbolea ya kutandaza kaunti ya Trans Nzoia

  • | Citizen TV
    132 views

    Wakulima katika kaunti ya Trans-Nzoia wanahangaika kupata mbolea ya kutandaza wakilalamikia muda wa mbolea hiyo umeisha na huenda wakapata hasara iwapo hawatanyunyiza mimea yao na mbolea hiyo.