Wakulima walalamikia kuzidi kwa wizi wa kahawa katika eneo bunge la Mlima Elgon

  • | Citizen TV
    100 views

    Vyama vya ushirika eneo bunge la Mlima Elgon Kaunti ya Bungoma vimetakiwa kushirikiana na idara za usalama kutoa ulinzi wa mazao yao ya kahawa kufuatia kuongezeka kwa wizi wa bidhaa hizi