Wakulima walilia fidia Lamu

  • | Citizen TV
    300 views

    Wakulima wa eneo la Mokowe, kaunti ya Lamu, ambao walitoa mashamba yao ili kujenga makao makuu ya kaunti hiyo, wanalia haki miaka kumi baada ya serikali kuwaahidi fidia. wakulima hao wamesalia kuishi kwa dhiki wakiitaka serikali kutimiza ahadi yake ili waweze kujikimu kimaisha. Abdulrahman Hassan anaarifu zaidi.