Wakulima wanatarajiwa mazao bora msimu huu

  • | Citizen TV
    36 views

    Wakulima wa mahindi kaunti ya Trans Nzoia wanatarajia mavuno bora mwaka huu, japo sasa kuna hofu kubwa miongoni mwao kuhusu bei ya mazao yao.