Wakulima wapanda aina mpya ya mtama katika kaunti ya Busia

  • | Citizen TV
    283 views

    Licha ya kilimo cha mtama kudidimia miaka ya hapo awali katika kaunti ya Busia, mmea huo umerejea tena kwa kishindo huku wenyeji wakipanda aina mpya ya mtama ambayo ina uwezo wa kustahimili ukame na kuleta mazao ya kuridhisha.