Wakulima wapata maarifa ya kukausha mboga za kienyeji Nandi

  • | Citizen TV
    64 views

    Baadhi ya wakulima wa mboga za kienyeji wamekumbatia mbinu ya kuongeza thamani pamoja na kuhifadhi mboga hizo kama njia moja ya kuimarisha mapato pamoja na kukabiliana na hasara inayotokana na kuharibika.