Wakulima wapewa mafunzo ya kilimo cha pareto Taita Taveta

  • | Citizen TV
    20 views

    Wakulima kaunti ya Taita Taveta wamepewa mafunzo ya kilimo cha pareto ambapo serikali ya kitaifa inailenga wakulima zaidi zaidi ya elfu moja katika maeneobunge ya Mwatate na Wundanyi