Wakulima wapewa mikopo kwa kuondoa hewa ya kaboni

  • | Citizen TV
    116 views

    Wakulima 2,300 wa kahawa na chai kaunti ya Kericho wanatazamiwa kufaidika katika mpango wa malipo ya mikopo ya hewa ya kaboni katika kipindi cha miaka mitatu ijayo