Skip to main content
Skip to main content

Wakulima washauriwa kupanda mbegu zilizoidhinishwa Busia

  • | Citizen TV
    49 views
    Huku msimu wa mvua za masika ukianza, wakulima katika kaunti ya Busia wamehusishwa katika mafunzo ya kilimo pamoja na mbinu za kisasa za kukabili hasara zinazoshuhudiwa katika sekta hiyo. Kulingana na baadhi ya wakulima, masaibu yao yanatokana na ukosefu wa mbegu halali pamoja na gharama ya kupima udongo kabla ya upanzi.