Skip to main content
Skip to main content

Wakulima washauriwa kutumia mashine katika kilimo

  • | Citizen TV
    465 views
    Duration: 1:50
    Serikali ya Kenya imepewa changamoto ya kuwekeza zaidi katika mashine za kilimo kama njia ya wazi ya kuongeza mavuno ya kilimo na kujitosheleza katika uzalishaji wa chakula. Kulingana na watafiti, lazima kuwe na tofauti kati ya matumizi ya mbinu za zamani na zile mpya ambazo kwa kiasi kikubwa zina jukumu muhimu katika kuwafanya wakulima kuwa mamilionea. Wakfu wa Green Africa limekuwa likiongoza msukumo wa utumizi wa mashine kuboresha kilimo.